MANDHARI YA MAGAR-MBULU

12345Photo credit : Safari Ohumay

STAR TV LIVE

BONYEZA HAPA

PATA SIMULIZI JINSI LAKE MANYARA ILIVYOHAMISHWA KIMIUJIZA KUTOKA MAKAZI YA SASA YA WAIRAQW , MAMA ISARA/IRQWAR- DAAW(MBULU)

The beginning

First the Iraqw people came to Ma’angwatay.
There are many stories about Ma’angwatay, that the elders know.
The people lived there under their chief Haymu Tipe.
Haymu Tipe had only one son. He was called Gemakw.

One day the young people of his tribe captured Gemakw and took him to an unknown place. Haymu Tipe got very angry and sent his men to look for his son.
After many days of searching Haymu Tipe got to know that his son was hidden in a secret place in the forest. The young men then told him: – Find some people for us to play and fight with, otherwise your son will die.

Haymu Tipe then called for the Barabaig people who lived in the neighbourhood. The Barabaig agreed to come to fight with the Iraqw.
Haymy Tipe now asked his people to bring back his beloved son, and Gemakw was brought to him.

A few days afterwards the Barabaig warriors arrived in the land of the Iraqw, and the fighting began. Many people, both Barabaig and Iraqw were killed, and Haymu Tipe made up his mind to flee. Early in the morning, before the first cock-crow, Haymu Tipe fled with his wife and his only son Gemakw. Some of his remaining men followed him to a place called Guser-Twalay. But there his son fell ill and died.

Haymu Tipe then set forth to the forest in the North, to a place called Qawirang. Haymu Tipe built his house and stayed there with his wife.

One day Haymu Tipe was grazing his cattle in the forest. He saw the valley that is called Mama Isara. But the valley was covered by a big lake. Hamu Tipe wondered if something could be done. After some days he sent some of his men to find a boy who was the only child in the family. The men walked for many days to the land of the Gorowa people and found a boy. His name was Moya.
They took Moya with them.

Chief Haymu Tipe, who was also a qwaslarmo, a medicine man, then gave Moya a magic stick. Haymu Tipe and some of the elders were standing at a distance from the water. The chief told the boy to go to the water and touch the water with the stick. Moya was worried of what was going to happen, but he did as he was told.

And there in front of Moya was a big tree called Ti’ita. Haymu Tipe told the boy to take the stick in his left hand and throw it at the tree.
Then suddenly the water flooded over him on all sides and swallowed him. The water rose over the ridge and flooded down in the plain below that is called Mbugwe.

The valley that was covered by the water is known to be first land of the Iraqw people.
This water from Mama Isara formed a big lake known as Lake Manyara. But the Iraqw people call the lake by another name. We call it Moya, for it is not only a lake, it is also the boy Moya.

SOURCE:HAPA

Mar 16 2012

Kupigana Vijembe hadharani ni ukosefu wa sera na nidhamu

 

 

Huwa ninakerwa na tabia ya viongozi hawa kutoa vijembe kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA. Upinzani si uadui bali ni changamoto katika kukuza demokrasia iliyo ya kweli hasa  kwa nchi kama Tanzania ambayo viongozi kutoka chama tawala walishazoea kuabudiwa kama miungu watu.

Inashangaza kuona mtu mwenye hadhi yake kama rais mstaafu MKAPA anakuwa ni mtu wa vijembe mara kwa mara anapoalikwa na chama chake kuzindua kampeni za uchaguzi. Hii ni tabia ya kukemewa na kuchukiwa na watanzania wa karne hii.

Mwingine anayeongoza kwa kuchafua hali ya hewa ni huyu mtu anayeitwa Mwigulu Nchemba, huyu ninashindwa nianzie wapi kumchambua kwani  haiba yake haitoshi kuwa hata  balozi  wa nyumba kumi, kwa tabia yake chafu ya kushambulia vyama vya upinzani badala ya kueneza sera na itikadi ya chama chake.

Wa mwisho ni Nape ambaye ninaweza kusema sera zake za KUVUA MAGAMBA zilikuwa ni nguvu za soda na ilikuwa ni mradi wa kutafuna pesa zitokanazo na kodi la walala hoi kwa kujipatia  allowance ya kuzunguka nchi nzima kama alivyofanya Vasco da Gama kuizunguka Dunia, heri yake huyu hakuwa anatafuna hela za walipa kodi wake.

Nov 12 2011

" The Truely Educated Never Graduate!

 

 

Asante Profesa Masangu Matondo wa blogu ya (http://matondo.blogspot.com) kwa kunikumbusha quote hii muhimu.

Elimu ya bure bila ufisadi inawezekana Tanzania kwa asilimia 100.  Ilani kwa serikali kwa serikali,  punguzeni kasi ya kuuza rasilimali za taifa kwa kisingizio cha uwekezaji. Dhana uwekezaji ni euendelezaji wa ukoloni: UKOLONI MAMBO LEO. Masangu Matondo anatukumbusha kuwa ” The Truely Educated Never graduate”  kwa mtizamo wangu finyu kinyume chake ni sahihi kwa watawala /viongozi wengi kutoka bara la Afrika. Baadhi yao wamepata elimu kutoka vyuo vyenye heshima kama vile Havard, Cambridge na Oxford, lakini elimu yao haijawakomboa kifikra zaidi ya kubakia kuwa watumwa wa elimu ya kufaulu na kujipatia vyeti ambavyo stahili yake ni decoration kwenye kuta za hekalu wanazozimiliki kwa njia za kifisadi .

N:B: Bila kusahau kuwa  U vasco da Gama unachangia kuzorotesha kasi ya maendeleo kwa vile ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi!

Oct 17 2011

Serikali imeibiwa milioni 4, tume ya uchunguzi inatumia milioni 12!

Ujumbe huu umenigusa mno, nimeukuta pale www.wavuti.com. Marehemu Dr. Remmy  alistahili kutunikiwa  shahada ya Udaktari wa falsafa wa heshima (honoris causa) kwa mchango wake kupitia mziki.

Dr. Remmy anakuambia “Serikali inaibiwa milioni 4, tume ya uchunguzi inatumia milioni 12″ anaendelea kusisitiza kupitia wimbo wake ” MREMA), “Mrema nakushauri fika Mwanza: Mwarabu na Pajero, Wasukuma na Baiskeli… dhahabu wanachimba wenyewe, almasi wanachimba wenyewe, pamba wanalima wenyewe… en he hee, hatari

www.wavuti.com

Oct 08 2011

Furahia wikiendi kwa kusikiliza kibao hiki murua- Les ''On Dit'' (Franco) T.P. O.K. Jazz 1987

Sep 07 2011

Wafanyakazi wa ubalozi wa Tanzania Stockholm Sweden wapo kwa utalii au kazi?

 

 

 

 

 

Ebu fikiria unapiga simu ubalozi wa Tanzania  Stockholm,  Sweden unapokuwa na shida,  balozi ambayo huwakilisha nchi za jirani kama vile Finland n.k, lakini simu hazipokelewi na hata ukabahatika ikapolekelewa unaulizwa kama unaongea lugha ya Kiswidi au Kiingereza! tuseme wafanyakazi wa ubalozi wetu wamesau lugha ya taifa Kiswahili?sipati jibu hapa.

Ukienda physically huko Stockholm wafanyakazi hao watatoa excuse nyingi oh, wafanyakazi wapo likizo lakini ukichunguza kwa makini wanao muda wa kucheza na facebook lakini siyo kupokea simu za wateja na kushughulika matatizo yao.

Tukijiuliza,  hivi hawa wafanyakazi wa ubalozi wanaelewa wajibu na majukumu  yao ya kuwahudumia watanzania waliopo nje na kwenye maeneo yao ya kazi? je serikali inachukua hatua gani kuhakikisha kuwa wafanyakazi inaowatuma wanafanya kazi wanazostahili kufanya na siyo kutalii?

Sep 02 2011

Rostam Aziz na wenzake sita matatani kwa wizi wa fedha za EPA kupitia kampuni ya Kagoda, ushahidi kutoka kwa mwanaharakati wabaini!

Pata video pamoja na nakala ya ushahidi wa maandishi wa mwanaharakati Msemakweli dhidi ya watuhumiwa wa wizi wa fedha za EPA kupitia Kagoda.Aug 27 2011

Video: "Ikulu ni mahala patakatifu, wala siyo pango la walanguzi"


Shukurani kwa Mwl. Masangu Matondo kwa kutukumbusha

Aug 27 2011

Video: Vioja vya Utoh, Luhanjo dhidi ya kashfa ya Jairo!

Source: Jamvini Channel

Aug 26 2011

Made in Mbinga: Kijana wa Kitanzania mwenye elimu ya darasa la saba afanya uvumbuzi, atengeneza magari manne kwa kutumia vipuri vya pikipiki na vyuma chakavu!!!!!

Young Man in Mbinga, Ruvuma Makes 4 Cars TBC 23_08_2011. from Push Observer on Vimeo.

SOURCE:WAVUTI

Aug 23 2011

Welcome to Dar es Salaam!

Older posts «

» Newer posts